Muonekano
Lugha
Gazeti la Kila Wiki Mtandaoni - Jimbo Kuu la Dar es Salaam
USIKOSE TENA! JIPATIE UPENDO DAIMA KILA TOLEO - Jisajili kwa Mwezi, Robo Mwaka, au Mwaka!
Pata habari kamili na za heshima kuhusu buriani la Askofu Mkuu Rugambwa, huku tukishuhudia sifa zake za uadilifu. Pia, tahadhari kali kutoka Vatican kuhusu video bandia za Papa zinazoenezwa mitandaoni. Jipatie nakala yako ya UPENDO DAIMA sasa kujua undani wote!
Jifunze fundisho la Papa Francisko lisilopingika: Umaskini sio kisingizio cha kutotii amri za Mungu. Pata pia changamoto kwa vijana wa Dar es Salaam kutumikia kama mashahidi wa imani. Habari hizi za kiroho na kijamii zitakusaidia kukua kiimani. Nunua nakala yako leo!
Pata mahubiri yenye nguvu kutoka kwa Papa Francisko kuhusu wokovu wa ulimwengu kupitia Misa, na onyo kali kwa vijana kutokubali mateso. Pia, soma tahadhari ya Askofu Ruwaichi kuwalinda watoto dhidi ya unyanyasaji. Habari hizi muhimu za imani na jamii zinapatikana ndani tu ya gazeti letu. Nunua sasa usisalie nyuma!
Usikose uchambuzi wa kina kuhusu uzinduzi mkubwa wa Bodi ya Gazeti la UDM! Pata pia ujumbe maalum kutoka kwa Maaskofu na Papa Francisko kuhusu amani na upendo. Je, ni juhudi zipi za Kanisa kuimarisha Uinjilishaji? Yote haya na zaidi ndani ya toleo hili la Upendo Daima. Nunua nakala yako sasa!